Kozi ya health systemanagement

usy

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2019
Posts
209
Reaction score
165
Wakuu Habari za muda huu..
Samahanini naomba mwenye ufahamu na kozi ya health system management inayotolewa chuo kikuu cha mzumbe anipe maelezo kidogo...
Hii kozi inadeal na vitu gani na baada ya kusoma unaweza kufanya kazi katika field gani?

Ahsanteni kwa msaada wenu

samahanini kwa error zilizopo katika tittle ya thread
 
inahusu makatibu afya, baada ya kuhitimu unaweza ajiliwa kama katibu afya katika hosp. zamani walikuwa wanachukuliwa moja kwa moja naona siku izi hosp. kdg zimejaa hivyo nafasi ni za kuomba

kwa ushauri wangu kama unaweza hamia HRM ama PA ama LGM kidogo angalau japo nazo kusugua gaga kuko palepale
 
ahsante mkuu,, hii PA ina tofauti na PSPA?? na hii LGM kidgo sijakupata
 
ahsante mkuu,, hii PA ina tofauti na PSPA?? na hii LGM kidgo sijakupata
LGM (local gv mgnt) ilikuwepo hapo sijui kama imeondolewa siku izi, PSPA na PA ni sawa sema PSPA wao huongezea kusoma Political science kwa hapo MU Sijui kama imesha anzishwa
 
a
LGM (local gv mgnt) ilikuwepo hapo sijui kama imeondolewa siku izi, PSPA na PA ni sawa sema PSPA wao huongezea kusoma Political science kwa hapo MU Sijui kama imesha anzishwa
ahsante sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…