X Xhizo de incredible Senior Member Joined Nov 14, 2018 Posts 112 Reaction score 176 Sep 28, 2023 #1 Naomba kuuliza aneifahamu kozi hiyo soko la ajira likoje kwa sasa na kwa baadae
Masiya JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 7,602 Reaction score 7,341 Sep 28, 2023 #2 Wagonjwa hasa wa upasuaji, mifupa na uti wa mgongo mara nyingi huhitaji mazoezi maalum hivyo hata kujiajiri inawezekana au part time.
Wagonjwa hasa wa upasuaji, mifupa na uti wa mgongo mara nyingi huhitaji mazoezi maalum hivyo hata kujiajiri inawezekana au part time.
X Xhizo de incredible Senior Member Joined Nov 14, 2018 Posts 112 Reaction score 176 Sep 29, 2023 Thread starter #3 Wakuu hapa vp
AnyWayZ JF-Expert Member Joined May 30, 2022 Posts 4,885 Reaction score 8,478 Sep 30, 2023 #4 Viungo, Mazoezi na Mengine ya kufanana na hayo. Ila Operation ni uongo kwa level ya diploma usidanganywe.
Viungo, Mazoezi na Mengine ya kufanana na hayo. Ila Operation ni uongo kwa level ya diploma usidanganywe.
AnyWayZ JF-Expert Member Joined May 30, 2022 Posts 4,885 Reaction score 8,478 Sep 30, 2023 #5 Viungo, Mazoezi na Mengine ya kufanana na hayo kama Massage nk Ila Operation ni uongo kwa level ya diploma usidanganywe.
Viungo, Mazoezi na Mengine ya kufanana na hayo kama Massage nk Ila Operation ni uongo kwa level ya diploma usidanganywe.
Its_grey New Member Joined Jul 22, 2021 Posts 3 Reaction score 2 Sep 30, 2023 #6 Nakushauri soma ni course ambayo inahitaji wataalamu wengi ntakupa takwimu ndogo tu kwa siku kila mkoa kuna ajali zaidi ya 10 za bodaboda ukitoa ajari nyingine au maradhi mengine yanayohitaji physiotherapy so soma utanishukuru baadae
Nakushauri soma ni course ambayo inahitaji wataalamu wengi ntakupa takwimu ndogo tu kwa siku kila mkoa kuna ajali zaidi ya 10 za bodaboda ukitoa ajari nyingine au maradhi mengine yanayohitaji physiotherapy so soma utanishukuru baadae