davyventure the great
Senior Member
- Dec 2, 2023
- 131
- 185
Radiology and Medical Imagingradiology and imaging system
Soma famasi kama unataka kujiajiri mkuu,ila kuhusu hiyo kozi Kwa tz wanadai ipo kwenye soko na inawatu wachache so wengi wanahutajika,chuo nadhani ni muhimbili tu ndo wanatoa degreeHivi hii kozi ya bachelor of sciance in radiology and imaging system inatolewa vyuo gani na ajira zake zikoje au ndo Ile unasoma kozi badae ukikosa ajira unashindwa kujiajiri anayefahamu ufafanuzi tafadhali.
Mzee kozi za afya karibu zote zipo vzr na haztofautiani Sana kwenye swala la uhitaji wake,lkn japo ambazo zimekaa kuajiriwa zaidi kuliko kujiajiri na zipo ambazo zimekaa kujiajiri zaidi kuliko kuajiriwa ko hiyo physiotherapy ni kama radiology tu bado hazina watu wengi sana ko Wanahitajika zaidi.ko kama unataka ufanye science biashara soma pharmacy,dental, optometry,medical lab ni rahisi kujiajiri,ila kama kuajiriwa soma radiology,nursing,medical doctorSawa mkuu nashukurukwahyo kwasahv ukipiga hiyo unakua na uhakika kwa asilimia flan hv na je verpe kuhusu bsc in physiotherapy
Sent from my Pixel 4a (5G) using JamiiForums mobile app
Ok Kila la kheri mkuu vp lkn matokeo yako yapojeAaaaah sawa apa ngoja nichukue radiology 2 sasa
Sent from my Pixel 4a (5G) using JamiiForums mobile app
Omba mapema maana wengi huwa wanakimbilia MD, pharmacy ,mwanzoni wakikosa ndo wanaanza kuomba kozi zngne
We nae upo muhas kakaOmba mapema maana wengi huwa wanakimbilia MD, pharmacy ,mwanzoni wakikosa ndo wanaanza kuomba kozi zngne
Sorry kaka sikuangalia jina lako nikajua kuna mtu anajarbu kuniambia kama nipo muhas kumbe ni wew hpn mi sipo muhas mi nipo kitaa tu kjana nachakalika ila Mungu akipenda mwakani naingia chuo but course nayoenda kusoma ni pharmacyWe nae upo muhas kaka
Na two kakaOoooh vizuri we unangapi mkuu
Hpn mi nachukua pharmacy
Aaaaah utaaply chuo gan we sa maake me mwenyewe nawazia competition 2 kakaHpn mi nachukua pharmacy