Nikuwa naongea na mkazi mmoja wa Arusha mfuasi wa CCM mwezi mmoja uliopita kuhusiana na uchaguzi wa ubunge ulioahirishwa, akasema yeye shida yake ilikuwa Magufuli tu kwakuwa ameshapata urais basi hatakwenda kupiga kura kuchagua mbunge wa CCM.Arusha nini kiliwagharimu CCM?
UKAWA walikosesea kudai katiba mpya ya Warioba badala ya kudai katiba yenye vipengele muhimu tu kwao. UKAWA ingezingatia tu vipengele vya katiba mpya vinavyohusika na uchaguzi kama vile tume huru, madaraka ya rais, uhuru wa binadamu, kuhoji matokeo mahakamani, n.k, mbele ya safari ndo wangehangaika kubadilisha vifungu vingine ambavyo havijakaa vizuri. sasa wao waling'ang'ania "all or non" na matokeo yake ni lawama ambazo hazina msingi za kuibiwa kura. Nafahamu kuwa mjadala wa katiba utakapoanza watakosea tena maana wataendelea kung'ang'ana na katiba ya Warioba ambayo iko mbali sana kuja.
Hivyo ulivovitaja vyote vipo ndani ya katiba pendekezwa na wao wakaikataa hawakujua kuwa kuipinga katiba pendekezwa kuna maanisha kuingia ktk uchaguzi na katiba ya mwaka 1977 hapo ndipo ilipokula kwao.
Kama hawa jamaa sio mambumbumbu wa kisiasa basi ndani yao wamejaa mamluki kibao. Huwezi kung'ang'ania serikali 3 kwenye katiba na kusahau nyenzo muhimu za uchaguzi kwanza kwenye uchaguzi. Bora wangeenda kidogokidogo kuelekea kule wanakotamani kufikaHivyo ulivovitaja vyote vipo ndani ya katiba pendekezwa na wao wakaikataa hawakujua kuwa kuipinga katiba pendekezwa kuna maanisha kuingia ktk uchaguzi na katiba ya mwaka 1977 hapo ndipo ilipokula kwao.
Hili nalo sikubaliani nalo, maana huko nyuma walishawahi kuwasimika akina Lipumba, Mrema, Mbowe, Slaa. Maalim bado yuko njia panda baada ya uchaguzi kufutwa na Jecha. Maana yake alivyopatikana Jecha na Lubuva ndio kiini cha tatizo na sio Lowassa.Khaa!! Kwangu mimi kilichowagharimu ni kumkaribisha fisi adi 😎
UKAWA walikosesea kudai katiba mpya ya Warioba badala ya kudai katiba yenye vipengele muhimu tu kwao. UKAWA ingezingatia tu vipengele vya katiba mpya vinavyohusika na uchaguzi kama vile tume huru, madaraka ya rais, uhuru wa binadamu, kuhoji matokeo mahakamani, n.k, mbele ya safari ndo wangehangaika kubadilisha vifungu vingine ambavyo havijakaa vizuri. sasa wao waling'ang'ania "all or non" na matokeo yake ni lawama ambazo hazina msingi za kuibiwa kura. Nafahamu kuwa mjadala wa katiba utakapoanza watakosea tena maana wataendelea kung'ang'ana na katiba ya Warioba ambayo iko mbali sana kuja.
UKAWA walikosesea kudai katiba mpya ya Warioba badala ya kudai katiba yenye vipengele muhimu tu kwao. UKAWA ingezingatia tu vipengele vya katiba mpya vinavyohusika na uchaguzi kama vile tume huru, madaraka ya rais, uhuru wa binadamu, kuhoji matokeo mahakamani, n.k, mbele ya safari ndo wangehangaika kubadilisha vifungu vingine ambavyo havijakaa vizuri. sasa wao waling'ang'ania "all or non" na matokeo yake ni lawama ambazo hazina msingi za kuibiwa kura. Nafahamu kuwa mjadala wa katiba utakapoanza watakosea tena maana wataendelea kung'ang'ana na katiba ya Warioba ambayo iko mbali sana kuja.
WaTz wenye akili kama zako wanaigharimu nchi hii na bahati mbaya watawala ni wajanja kwa kuwanyima wananchi wengi UELEWA (ELIMU)