Kosa la nani hapa...?

Nakumbuka hapa habari ya madereva wawili waliokuwa wanazozana,na Traffic alipoingilia sakata....for real nilicheka hadi machozi
 
Sheria inaruhusu Traffic kunyang'anya funguo?
 
Duh, rakini jamaa alitegemea nini...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…