meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,828
Ukawa wamefanya kosa la kampeni kwa kumtegemea mtu mmoja tu...yaani kuuza sura ya lowasa.
Kosa hili litawagharimu sana wagombea ubunge na udiwani.
Lowassa ameenda sehemu chache na kwa bahati mbaya hajafikia uwezo wa Slaa wa kuwanadi wabunge na madiwani.
Kampeni za Ukawa na za ujumla sana huku wakisahau kura zinapigwa locally...
Hii ina maana influence kwa local community bado ipo kwa ccm na huu ndio ushindi wa CCM.
Wenzio washapewa nauli za kurudi kijijini na January, usijekuwa unahara tu hapa wakati hata nauli huna. Ofisi hizo zinafungwa jumapili, kwahiyo jumatatu hautakuwa kazini.
Peoplesss
Edward ndo raic we2
Kosa la Chadema ni kumtumia kapi la ccmKosa la kampeni za ccm ni kutumia sana bongoflv na hicho kitasababisha kushindwa kwa magufuli na hawezi fika kura milion3
Peoplesss
Edward ndo raic we2
Kosa la kampeni za ccm ni kutumia sana bongoflv na hicho kitasababisha kushindwa kwa magufuli na hawezi fika kura milion3
Mimi sikua kwenye ile safari ya matumaini mind you!
Wenzio washapewa nauli za kurudi kijijini na January, usijekuwa unahara tu hapa wakati hata nauli huna. Ofisi hizo zinafungwa jumapili, kwahiyo jumatatu hautakuwa kazini.
CHADEMA watashindwa vibaya na hawataamini. Nikweli wanatumia nguvu nyingi sana kum promote Lowassa mpka wanawasahau wabunge wao na madiwani.yani watashindwa ktk urais na watashanga kupoteza majimbo mengi tofauti na mwaka 2010.
Yaani bado mpo na jambazi lenu la richmond mnalitembeza mikoani ili wananchi walijue. Mngejua tumeishaamua mafisadi tunayasubiri tunayasubiri 25 tuyachinjeee. Mamtu yameibaa leo yanataka urais. Fisadi papa hawezi kupewa nchi hata dawa tutampiga vita fisadi mpaka kaburini. Kura yangu ni kwa rais wangu mpendwa Magufuri.
Hizi kauli mwisho 25 bado siku 5 tu mtaharisha kama mgombea wenu. Kura yangu ni kwa Magufuri.
Zifungwe tu mimi niko A cityIT Centres Masaki na Lumumba ofisi zinafungwa jumapili, jumatatu hakuna kazi ushachukua nauli ya kurudi kijijini?