Mafian cartel JF-Expert Member Joined Nov 19, 2021 Posts 4,204 Reaction score 7,768 Nov 20, 2022 Thread starter #41 Mpira umeanza kwa kasi Wanacheza jihad
Mafian cartel JF-Expert Member Joined Nov 19, 2021 Posts 4,204 Reaction score 7,768 Nov 20, 2022 Thread starter #42 Qatar kashawekwa
Mafian cartel JF-Expert Member Joined Nov 19, 2021 Posts 4,204 Reaction score 7,768 Nov 20, 2022 Thread starter #43 Offside
whiteskunk JF-Expert Member Joined Jul 24, 2021 Posts 3,928 Reaction score 9,438 Nov 20, 2022 #44 Mafian cartel said: Qatar kashawekwa Click to expand... Anacheza na wapi?
whiteskunk JF-Expert Member Joined Jul 24, 2021 Posts 3,928 Reaction score 9,438 Nov 20, 2022 #45 Mafian cartel said: Offside Click to expand... Unaangalia channel gani?
Coolant JF-Expert Member Joined Apr 19, 2015 Posts 1,256 Reaction score 2,201 Nov 20, 2022 #46 Munamuge said: TBC wamelipia ili wapige dili la matangazo wala sio kuburudisha wananchi. Kama watakua tayari kutangaza bure kwenye msimu huu basi waseme ili tuiombe TCRA kuwawajibisha Azam. Click to expand... FIFA hua na kawaida ya kutoa bure haki ya kurusha matangazo ya world cup kwenye vyombo vya habari vya kitaifa. Kwa mfano ukiangalia KBC, UBC, Rwanda TV ZBC vyote vinarusha matangazo ya moja kwa moja.
Munamuge said: TBC wamelipia ili wapige dili la matangazo wala sio kuburudisha wananchi. Kama watakua tayari kutangaza bure kwenye msimu huu basi waseme ili tuiombe TCRA kuwawajibisha Azam. Click to expand... FIFA hua na kawaida ya kutoa bure haki ya kurusha matangazo ya world cup kwenye vyombo vya habari vya kitaifa. Kwa mfano ukiangalia KBC, UBC, Rwanda TV ZBC vyote vinarusha matangazo ya moja kwa moja.
harakat JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 2,887 Reaction score 1,359 Nov 20, 2022 #47 Hata wangerusha bure naona TAaaanesco wamekata umeme wao tayari
HiDEmYiD JF-Expert Member Joined Mar 14, 2018 Posts 1,893 Reaction score 3,645 Nov 20, 2022 #48 Msaada kubadili hiki kizaramo aisee hawa jamaa wanakera
42774277 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 6,835 Reaction score 8,874 Nov 20, 2022 #49 Mafian cartel said: Sherehe za ufunguzi zimeshaanza naona Muigizaji maarufu wa filamu kutoka nchini marekani Morgan freeman ameshiriki bila shaka amekula kibunda cha kutosha Kama upo mbali na TV yako Sogea karibu vuta popcorn za kutosha View attachment 2422355 Click to expand... Kinachoendelea hapa ni upumbavu tu... Dunia ya leo TBC wanaturushia match katika 10fps? Utadhani tupo mwaka 1990? Tukiwa tunadisi vitu vya nyumbani muwe mnatuelewa sometimes.
Mafian cartel said: Sherehe za ufunguzi zimeshaanza naona Muigizaji maarufu wa filamu kutoka nchini marekani Morgan freeman ameshiriki bila shaka amekula kibunda cha kutosha Kama upo mbali na TV yako Sogea karibu vuta popcorn za kutosha View attachment 2422355 Click to expand... Kinachoendelea hapa ni upumbavu tu... Dunia ya leo TBC wanaturushia match katika 10fps? Utadhani tupo mwaka 1990? Tukiwa tunadisi vitu vya nyumbani muwe mnatuelewa sometimes.
Mafian cartel JF-Expert Member Joined Nov 19, 2021 Posts 4,204 Reaction score 7,768 Nov 20, 2022 Thread starter #50 whiteskunk said: Anacheza na wapi? Click to expand... Qatar Vs Ecuador
Mafian cartel JF-Expert Member Joined Nov 19, 2021 Posts 4,204 Reaction score 7,768 Nov 20, 2022 Thread starter #51 whiteskunk said: Unaangalia channel gani? Click to expand... Tbc1
Mafian cartel JF-Expert Member Joined Nov 19, 2021 Posts 4,204 Reaction score 7,768 Nov 20, 2022 Thread starter #52 42774277 said: Kinachoendelea hapa ni upumbavu tu... Dunia ya leo TBC wanaturushia match katika 10fps? Utadhani tupo mwaka 1990? Tukiwa tunadisi vitu vya nyumbani muwe mnatuelewa sometimes. Click to expand... Hawawezi kuonyesha kwa quality kwa sababu na wao wanachukua sehemu Siku zote cheap is expensive
42774277 said: Kinachoendelea hapa ni upumbavu tu... Dunia ya leo TBC wanaturushia match katika 10fps? Utadhani tupo mwaka 1990? Tukiwa tunadisi vitu vya nyumbani muwe mnatuelewa sometimes. Click to expand... Hawawezi kuonyesha kwa quality kwa sababu na wao wanachukua sehemu Siku zote cheap is expensive
Mafian cartel JF-Expert Member Joined Nov 19, 2021 Posts 4,204 Reaction score 7,768 Nov 20, 2022 Thread starter #53 Half time Qatar 0-2 Ecuador
Mafian cartel JF-Expert Member Joined Nov 19, 2021 Posts 4,204 Reaction score 7,768 Nov 20, 2022 Thread starter #54 HiDEmYiD said: Msaada kubadili hiki kizaramo aisee hawa jamaa wanakera Click to expand... Wanaharibu ladha
HiDEmYiD said: Msaada kubadili hiki kizaramo aisee hawa jamaa wanakera Click to expand... Wanaharibu ladha
Mafian cartel JF-Expert Member Joined Nov 19, 2021 Posts 4,204 Reaction score 7,768 Nov 20, 2022 Thread starter #55 Qatar ni timu mbovu sana Mali chache mno
Ng'wanamangilingili JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 5,787 Reaction score 4,875 Nov 22, 2022 #56 Mafian cartel said: Akram afif mwenye asili ya kibongoView attachment 2422381 Click to expand... tunapenda sana kudandia mafanikio yawengine na nchi zao
Mafian cartel said: Akram afif mwenye asili ya kibongoView attachment 2422381 Click to expand... tunapenda sana kudandia mafanikio yawengine na nchi zao