Kofi kanyang'anywa mkanda kizembe sana

Wale wote wanajua sema ni kitu wanakipenda kama unavyoangalia movie za RAMBO wajua hakuna ukweli pale lakini watoa hela wanunua movie ili uburudike
 
Huyo sio mshabiki bali ni mwanamieleka na inawezekana pambano lilimhusu yeye na alichofanya Ni kuweka mtego wa ushindi
kwake.
Huwezi kuwajua Wanamieleka wote wengine ni ingizo jipya na hakuna vazi maalum la kuchezea Mieleka hadi mtazamaji umjue.
Mtu asiyekuwa mwanamieleka haruhusiwi kupanda jukwaani wakati wa mchezo.
Huo mkanda ataupeleka wapi wakati hajajisajiri kuwa mchezaji..!
Unaweza ukacheza Mieleka huku umevaa suti.
Yule mtoto wa Rey Masterio aliyechomolewa kwa watazamaji na Lesner na kupigwa unaweza kufikiri ni mtazamaji, lakini tayari ameshajisajiri kama mwanamieleka na Ile ilikuwa ndio mwanzo wake wa kucheza, utamwona jukwaani muda sio mrefu.
Mieleka Ina mambo mengi na Kama unaitizama kijuujuu huwezi kuelewa kinacho endelea.
 
Karudie kutazama tena mkuu hasa kwenye jukwaa la washabiki.
 
Mbona wengi walishakufa kwenye ulingo wakidundana,sioni uongo hapo
 
Mbona wengi walishakufa kwenye ulingo wakidundana,sioni uongo hapo
Sikiliza kufa hata kwenye SOKA watu wanakufa lakini hawapigani.
Wale wanaruka ruka wnaapigana kwa jinsi sheria zao zinavyosema so majeruhi au mtu kufa inakuwa bahati mbaya sababu wanakuwa washafanyia mazoezi kabla hawajapanda ulingoni.
Ila story yote kuhusu mchezo inakiwa ishaandikwa ishapangwa na mshindi anajulikana kwenye kamati ya Juu inayoongozwa na bosi mkubwa na wachezaji wanajua hilo ila nyie ndio mnakuwa hamjui. Msikilize lesnar anakwambia yes its fake and everybody know that its fake
 
Mwaka 2006 WWE ilitua live kwa Madiba na wanyamwezi kitaani kwetu walikuwa huko na wameshuhudia live game zinachezwa Nikiachilia mbali hilo game hizi huwa tunaziona live kupitia channel za super sport lakini leo hii baadhi ya wabongo wenzangu wanakomaa kuwa ni fix mchezo hauna uhalisia poleni sana.
 
Rehearsal ya kupanda juu ya cage na kujiachia uanguke nje ya ulingo ukitanguliza mgongo!!

Hivi sasa kuna mchezo mpya umeanza unaingia ndani ya gari na kuendesha kwa kasi kubwa kisha unaenda kugonga kitu kama tuta upande mmoja wa tairi kinachotekea ile gari itapaa na kupinduka kwa mizungunguko hivyo mshindi anapatikana kutokana na mizunguko aliyopinduka NASUBIRI NA YENYEWE MTAJA SEMA NI FIX!!.
 
mkuu nakuelewaga vizuri mieleka unaifahamu saana
 
mkuu nakuelewaga vizuri mieleka unaifahamu saana
Mimi ni Mdau wa Mchezo wa Mieleka.
Nasio mshabiki.
Hivyo naijua vizuri sana inavyochezwa Mieleka.
Huwa nawaangalia tu wanaosema ni Maigizo.
Mchezo wa mielaka una mambo mengi sana, na yanazidi kuongezeka kila kukicha.
Washabiki wanaouangalia kijuu juu kamwe hawawezi kuuelewa.
Mieleka Ina mipango mingi inayotekelezwa nje na ndani ya ulingo.
Lakini Mwisho wa siku mpambano wa Ubingwa unaandaliwa, hapo Sasa hakuna masihala tena.
Kule kwenye kufuzu Kuna Mizungu mingi inayo wachanganya hadi waandaaji na wadhamini
Sembuse wewe Mtazamaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…