G gurumeti Member Joined Sep 19, 2012 Posts 40 Reaction score 2 Sep 21, 2012 #1 kama serikali/TRA inawatambua na kuwaorodhesha makampuni yanayolipa kodi kubwa, kwanini isiwataje pia wafanyakazi wanaolipa kodikubwa? kwa sababu naamini mfanyakazi ndiye mlipa kodi mwaminifu kuliko kampuni au mtu yoyote yule.
kama serikali/TRA inawatambua na kuwaorodhesha makampuni yanayolipa kodi kubwa, kwanini isiwataje pia wafanyakazi wanaolipa kodikubwa? kwa sababu naamini mfanyakazi ndiye mlipa kodi mwaminifu kuliko kampuni au mtu yoyote yule.