Kodi ya mapato kwa vibanda vya M-pesa

RingaRinga

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2015
Posts
1,052
Reaction score
529
Kwa vibanda vya m-pesa visivyochangamana na biashara nyingine:

Nimejaribu kufuatilia thread kadhaa zinazoongelea swala hili, hakuna niliyopata jibu lililonyooka.
Ninavyofaham mm kodi katika biashara hii hukatwa kila mwisho wa mwezi kutoka katika commission ya wakala ambayo ni 10%, sasa hii nyingine wanayotaka manually mtaani hawa TRA huwa ni ya nini?

JamiiForums tuleteeni watu wanaoweza kutoa majibu mujarabu hapa, ni OMBI MAHSUSI kabisa.
Mawakala zaidi ya 50,000 nchi nzima swala hili kwetu bado ni mtihani.
Please tunaomba majibu makini.
 

Pitia kwanza aina za kodi zinazolipwa hapa nchini kwetu ndipo utaelewa.
 
Haha masuala ya kodi huwa siyaelewi elewi...kwan wakati wa kufanya mualama si huwa kuna kiasi cha kodi wanakata au!!!!
 
aiseeh kwa hiyo TRA ndio wanaichukua sio halmashauri au inakuwaje mkuu
Sina uhakika kam kwa sasa inachukuliwa na TRA au halmashauri, miaka kadhaa nyuma kipindi cha JK ilikua inachukuliwa na halmashauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…