Mkuu EMT kuna kitu kimechanganywa kama sio english yangu ndo ipo shallow, ebu angalia tittle ya barua (reference) then soma kwa umakini sentensi ya kwanza alafu usome sentensi ya pili hapo hapo kwenye aya ya kwanza.
Halafu naomba nikupe hii mifano miwili ya transactions then nambie wapi panapaswa kukatwa kodi.
A, Mimi naitaji kununua gari nje ya nchi nitalipa kwa TT.
B, Mimi nina account ACCES BANK ninahitaji kuhamisha hela kwenye account yangu nyingine iliyopo EXIM BANK.
Kati ya A na B wapi napaswa kulipa kodi,?
hizi taarifa sijui kama wanazipata na kwanini chadema isitembeze hili karatasi humi mitaani wengi wanashitukia tu hela zao zimekatwa hawajui chochote kile lolalafu bado kuna watu maskini wanaipenda ccm!
Hivi hiyo Finance Bill ya mwaka 2013/2014 ni siri? Mbona haionekani? Halafu haya masuala ya kukata pesa kwenye Mpesa si yalikataliwa na wabunge na serikali kuondoa kodi za namna hii wakati Waziri akijibu hoja za wabunge. Sasa hii tena inatoka wapi?
my point exactly si unaona hata sisi hapa tushaanza kuchanganya (confusion) kila mtu anatafsiri kivyake na shida ya hii watu watakatwa kodi hata pale pasipohusika ukizingatia serikali yenyewe ni kukusanya tu, sasa walishindwa nini kuweka kila kitu kinachohusika na kisichohusika stage by stage.., sababu according to me ATM sio money transfer bali its just withdraw unless otherwise wangesema kila transaction itakuwa chargedUmekosea kaka, Hii ni kodi kwa hela unayochukua malaji/mtu wa mwisho, mfano ukienda kutoa hela kwenye ATM watu wankula 0.15%.
Anayetuma 1 Billion Shillings kutoka account yake, ya CRDB say to NBC analipa Shs. (1,000,000,000 - 30,000)*0.15% = 1,499,955.
Mkuu EMT kuna kitu kimechanganywa kama sio english yangu ndo ipo shallow, ebu angalia tittle ya barua (reference) then soma kwa umakini sentensi ya kwanza alafu usome sentensi ya pili hapo hapo kwenye aya ya kwanza.
Halafu naomba nikupe hii mifano miwili ya transactions then nambie wapi panapaswa kukatwa kodi.
A, Mimi naitaji kununua gari nje ya nchi nitalipa kwa TT.
B, Mimi nina account ACCES BANK ninahitaji kuhamisha hela kwenye account yangu nyingine iliyopo EXIM BANK.
Kati ya A na B wapi napaswa kulipa kodi,?
Nisipolalamikia huu mlolongo wa kodi zisizokuwa na kichwa wala miguu, kuna siku wataanzisha hadi kodi hadi kwenye tendo la ndoa kwa wanandoa!
Vipi kama natransfer hizo pesa kutoka account yangu CRDB kwenda kwenye account yangu nyingine hapo hapo CRDB?
Bado nitatakiwa kulipa hiyo kodi?
Sentensi ya kwanza na ya pili kwenye hiyo barua kama vile zinajichanganya? Sijaelewa zina maana gani.
Hivi mzazi akitransfer pesa kutoka kwenye account yako CRDB kwenda kwenye account ya shule iliyopo NBC kwa ajili ya kulipia ada ya mtoto nae atatozwa hiyo kodi?
Kuna umuhimu wa kuipata sheria yenyewe na kuisoma maana hii barua hata haitoa clarification.
Acheni kuipenda dezo dezo
serikali ilikuwa na huruma miaka yote hii hamna shukrani ni tanzania
pekee ilikuwa haitozi kodi hii mnataka maisha mazuri lipeni kodi hivi
baado tu hamishukuru serikali kusamehe kodi watu mnafanya dili za
udalali hamlipi kodi mnapangisha nyumba hamlipi kodi machinga hawalipi
kodi magenge maduka ya mitaani hayalipi kodi nk nk hivi siku ikiamua
kila kipato unachoingiza kikatwe kodi mtakomajeee!!!!!
Sentensi ya kwanza na ya pili kwenye hiyo barua kama vile zinajichanganya? Sijaelewa zina maana gani.
Hivi mzazi akitransfer pesa kutoka kwenye account yako CRDB kwenda kwenye account ya shule iliyopo NBC kwa ajili ya kulipia ada ya mtoto nae atatozwa hiyo kodi?
Kuna umuhimu wa kuipata sheria yenyewe na kuisoma maana hii barua hata haitoa clarification.
Mkuu, daka hiyo sheria, hii hapa, hicho kipengele ni page ya 12 para ya kwanza kabisa, ambayo inasema hivi
"(6A) There shall be charged an excise duty
on money transfer through a bank, a financial
institution or a telecommunication company at the
rate of 0.15% of the amount transferred for the
amount exceeding shillings 30,0001=
(6B) The excise duty chargeable under
subsection (6A) shall not apply to money transfer
between banks and financial
institutions, government, diplomats and diplomatic
missions."
Sema wewe mkuu, manake mimi nasoma hii barua mara mbili mbili nashindwa kuelewa niwalaumu TRA au mwalimu wangu wa kizungu. Kwa kutoelewa kwangu, naona kama scenario A ndio itahusika na hilo tozo. Na nilivyoelewa mimi, anayelipwa ndio atapelekewa kiasi pungufu kwa hiyo asilimia 0.15 (kuwa atakuwa amekuwa taxed at source). Lakini najikuta sielewi tena kama mtumaji bado anakatwa tena? If yes, kwa ajili ya nini? Na je, kama anayelipwa ni wa hapa hapa nchini, jamani, haya siyo ma-double taxation tena? Assuming kama ni consultant, si aliyemlipa alisha withhold tax at some point tena?
Mmh ndugu, nisikuchanganye, manake nahisi sijaelewa kitu.....au sijui ndio nashindwa ku-absorb shock?
Kweli sasa tunakuwa taxpayers kila kona. Ukituma 1m Serikali wanachukua 15,000 faster, mtumaji unakatwa 2000, na mpokeaji kama buku saba (nt sure). Kwa hesabu za haraka 25,0000. Yaani hata nikimtumia mdogo wangu hela ya matumizi bado nimo tu ingawa si biashara. Watupe TIN number basi! Meen, watatumaliza! Itabidi turudi zile zama za zamani za kutuma kwa basi za abiria na malory bila kujali risk na delay. Tutapata tu pa kuchomokea. Kinachonisikitisha ni misamaha ya kodi ambayo ingeweza kucompensate revenue ya serikali. Pia kungekuwa na ukusanyaji mzuri katika vyanzo vikuu kama madini, bandari, utalii nk yote haya yasingekuwepo. Hii ndo BIG RESULTS NOW!
Mkuu, daka hiyo sheria, hii hapa, hicho kipengele ni page ya 12 para ya kwanza kabisa, ambayo inasema hivi
"(6A) There shall be charged an excise duty
on money transfer through a bank, a financial
institution or a telecommunication company at the
rate of 0.15% of the amount transferred for the
amount exceeding shillings 30,0001=
(6B) The excise duty chargeable under
subsection (6A) shall not apply to money transfer
between banks and financial
institutions, government, diplomats and diplomatic
missions."
Kwa walio soma taxation huwa wanajitangaza kwamba tax laws zinachanganya, Lakini kwa uelewa wangu wa English ya Saint Kayumba kuna kitu kinakosekana kwenye hiyo barua kama sivyo muhusika amefanya makusudi akijua anachokitaka aisee. Tittle inajichanaganya na contents.
Hivi inakuwaje hawa jamaa wanapitisha sheria za kodi hata bila kushirikisha wadau japo kidogo? Hawa jamaa kwa kweli wanakera aisee.
Huo mfano wako wa CRDB ndo sawa na ule wangu niliokuuliza wa ACCES BANK.
Ukiongeza na 1000 ya line,na hii transaction fee tax na nyingine msululu zilizojificha ni balaa tupu,haya mambo ndio yanaua business za watu na wote tunaishia kuwa maskini na serikali kubaki ombaomba...kamua migodi ile na gas tuliyopewa na mungu bure sio kukimbiza hardwork za watuYou need to know all telecom tariff will increase by 15% regardless of any services offered to customer.