Shedafa JF-Expert Member Joined May 21, 2008 Posts 802 Reaction score 176 Jan 9, 2011 #1 Wadau, Naomba mwenye taarifa yoyote(uzuri/ubaya) juu ya hii digital camera, anijuze. Kuna mtu anaiuza, amepatwa na shida na kama mjuavyo kimfaacho mtu chake. Nawakilisha.
Wadau, Naomba mwenye taarifa yoyote(uzuri/ubaya) juu ya hii digital camera, anijuze. Kuna mtu anaiuza, amepatwa na shida na kama mjuavyo kimfaacho mtu chake. Nawakilisha.
kilimasera JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 3,068 Reaction score 277 Jan 9, 2011 #2 kampuni kongwe na iliyobobea kwenye mambo ya picha kwa miaka mingi sana
Shedafa JF-Expert Member Joined May 21, 2008 Posts 802 Reaction score 176 Jan 9, 2011 Thread starter #3 Asante kwa tathmini mkuu, je una ufahamu wowote juu ya aina hii ya camera?