M Mbotela Senior Member Joined Aug 8, 2015 Posts 113 Reaction score 5 Sep 5, 2015 #1 Kocha huyu anaonyesha uwezo wa juu kwa training.Naamini anaweza kuwa mkombozi hapa nchini. Kocha aliyefukuzwa pengo lake limezibika kwa kumpata kocha mzawa aliye na ubora wa juu.
Kocha huyu anaonyesha uwezo wa juu kwa training.Naamini anaweza kuwa mkombozi hapa nchini. Kocha aliyefukuzwa pengo lake limezibika kwa kumpata kocha mzawa aliye na ubora wa juu.
I issenyestore JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 300 Reaction score 69 Sep 5, 2015 #2 Mbotela said: Kocha huyu anaonyesha uwezo wa juu kwa training.Naamini anaweza kuwa mkombozi hapa nchini. Kocha aliyefukuzwa pengo lake limezibika kwa kumpata kocha mzawa aliye na ubora wa juu. Click to expand... Mbinu za Babu wa Yanga na anamsaidia Sanaa Mkwasa
Mbotela said: Kocha huyu anaonyesha uwezo wa juu kwa training.Naamini anaweza kuwa mkombozi hapa nchini. Kocha aliyefukuzwa pengo lake limezibika kwa kumpata kocha mzawa aliye na ubora wa juu. Click to expand... Mbinu za Babu wa Yanga na anamsaidia Sanaa Mkwasa
Super Sub Steve JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 17,647 Reaction score 11,227 Sep 5, 2015 #3 Yule Mzungu alikuwa anatafuna tu pesa
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,888 Reaction score 7,079 Sep 5, 2015 #4 mmefungwa ngapi?
Herman Silver Member Joined Aug 24, 2015 Posts 13 Reaction score 0 Sep 5, 2015 #5 Unataka tufungwe tu. Kama aujasikia wala katazama. Sikiliza michezo kwa sasa utaipata habari
W Wakimataifa1 JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 326 Reaction score 100 Sep 5, 2015 #6 ila mvivu kusoma mchezo mfano tulikuwa tunaangalia alichelewa sana kufanya sabu faridi alishachoka kuanzia dk ya 60
ila mvivu kusoma mchezo mfano tulikuwa tunaangalia alichelewa sana kufanya sabu faridi alishachoka kuanzia dk ya 60
I ibanezafrica JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,261 Reaction score 6,556 Sep 5, 2015 #7 Big up
K Kolobaa JF-Expert Member Joined Dec 15, 2014 Posts 1,652 Reaction score 847 Sep 5, 2015 #8 Nina amini akipata muda zaidi anaweza kuibadili timu yetu,leo timu imeonyesha matumaini.
SOGHOO JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 1,268 Reaction score 568 Sep 5, 2015 #9 hata OTTU walimuimba CHARLES BONIFACE MKWASAAH
Zipapa zipapa JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 409 Reaction score 118 Sep 5, 2015 #10 Safi sana Mkwasa inatia moyo
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,118 Reaction score 5,368 Sep 5, 2015 #11 kwani wameashinda ngapi? mtujuze ambao hatujaona
macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 28,327 Reaction score 57,171 Sep 5, 2015 #12 Mbotela said: Kocha huyu anaonyesha uwezo wa juu kwa training.Naamini anaweza kuwa mkombozi hapa nchini. Kocha aliyefukuzwa pengo lake limezibika kwa kumpata kocha mzawa aliye na ubora wa juu. Click to expand... Haa haa haa wabongo bwana, bongo zao zimechoka ile mbaya. Mechi moja tu unasifia na kujiapiza?
Mbotela said: Kocha huyu anaonyesha uwezo wa juu kwa training.Naamini anaweza kuwa mkombozi hapa nchini. Kocha aliyefukuzwa pengo lake limezibika kwa kumpata kocha mzawa aliye na ubora wa juu. Click to expand... Haa haa haa wabongo bwana, bongo zao zimechoka ile mbaya. Mechi moja tu unasifia na kujiapiza?
macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 28,327 Reaction score 57,171 Sep 5, 2015 #13 Kolobaa said: Nina amini akipata muda zaidi anaweza kuibadili timu yetu,leo timu imeonyesha matumaini. Click to expand... Danganyika! Na mtaendelea kujipa matumaini na kujiliwaza kumbe mpira wetu ni bado kabisa. Subiri uone
Kolobaa said: Nina amini akipata muda zaidi anaweza kuibadili timu yetu,leo timu imeonyesha matumaini. Click to expand... Danganyika! Na mtaendelea kujipa matumaini na kujiliwaza kumbe mpira wetu ni bado kabisa. Subiri uone
G'son JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 777 Reaction score 406 Sep 5, 2015 #14 Kumbe game ilikua leo shida sanaaa
N NSHOMA FRANCOUS JF-Expert Member Joined Feb 14, 2012 Posts 698 Reaction score 326 Sep 5, 2015 #15 Star bado sana ,wanacheza nyumbani kama wako ugenini......tunasindikiza
SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,270 Sep 6, 2015 #16 Mbotela said: Kocha huyu anaonyesha uwezo wa juu kwa training.Naamini anaweza kuwa mkombozi hapa nchini. Kocha aliyefukuzwa pengo lake limezibika kwa kumpata kocha mzawa aliye na ubora wa juu. Click to expand... Cookie, hii thread iende sports tasafali. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mbotela said: Kocha huyu anaonyesha uwezo wa juu kwa training.Naamini anaweza kuwa mkombozi hapa nchini. Kocha aliyefukuzwa pengo lake limezibika kwa kumpata kocha mzawa aliye na ubora wa juu. Click to expand... Cookie, hii thread iende sports tasafali.