Kocha Juma Mgunda kung'ang'ania Simba SC ni kuendelea kujishushia heshima na kujidumaza akili yako

Una ushahidi gani kuwa analipwa pesa ndefu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa akili ya kawaida kutaka Mgunda aondoke Simba lazima tuseme una fikiri ni timu zipi Zina weza kumlipa vizuri.
Yanga tayari Wana kocha, Azam Fc na Singida Wana kocha tayari.
Hizi ndio timu zenye kulipa vizuri sana Tanzania na zimevutia wachezaji wengi kutoka nje ya mipaka ya Tanzania.
Mpira ni sehemu ya maisha, Mgunda kama kocha ana takiwa kubadilisha maisha yake na kujenga misingi sahihi ya kimaisha.
Jambo la pili Mgunda Hana uzoefu kama kocha katika soka la KIMATAIFA hivyo kuwa msaidizi kwa kocha mwenye kariba ya Robartihno ni Sahihi kabisa.
Robartihno ni kocha mkubwa Sana amefundisha klabu nyingi sana Afrika na amepata mafanikio makubwa hivyo ni Sahihi Mgunda kuwa msaidizi.
Huyu Matola uliyesema mwanzo yeye ndio ana stahili kuwa msaidizi pia amewahi kuwa kocha mkuu kwa timu za Lipuli na Polisi Tanzania.
Una kumbuka ubora wa Lipuli au Polisi Tanzania ilikuwa na ubora upi wakati sa Matola.
Kuwa kocha mkuu Kuna Factor nyingi sana, pale Singida kocha msaidizi wao amewahi kuwa kocha mkuu Mbeya City Martin Lule pia ni kocha mkubwa lakini hawezi kufikia daraja la Hans.
Pale Yanga Kaze ni kocha mzuri Sana na amewahi kuwa kocha mkuu Yanga lakini hawezi kufikia daraja la Nabi.
 
Ahsante nayafanyia kazi maoni yako.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wenye timu zao wakimuhitaji watachukua. Au ikitokea nafasi ya kazi ataomba. Lakini siyo timu kama Ruvu, Mbeya City, Coastal ni bora kuwa kocha msaidizi Simba.
 
Threads za wanaUtopolo bhana!!
 
Kuna kitu kinaitwa exposure, hapo costal miaka nenda rudi CV inabaki vile vile ila anaposhiriki michuano mikubwa kama champions league etc hats kama ni kocha msaidiz inampa milage sana
 
Kuna kitu kinaitwa exposure, hapo costal miaka nenda rudi CV inabaki vile vile ila anaposhiriki michuano mikubwa kama champions league etc hats kama ni kocha msaidiz inampa milage sana
Kwa hiyo mgunda mpaka Sasa anatafuta exposure pale simba??

Selemani matola ana miaka mingapi pale mpaka Sasa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa uwezo alionao mgunda hastahili kuwa kocha msaidizi pale simba, hayo
Umri unaenda, heshima inakuja kwa kuwa na fedha, sio kuwa na historia ya timu ilivyoivimbia Yanga. Hata Nabi angeweza kubaki Yanga ili apate sifa za humu nchini, lakini amefuata hela Sauzi huku akijua kuna uwezekano mkubwa asipate tena zile sifa alizopata bongo. Hela ndio kila kitu, sifa waachie akina Mrisho Ngassa. Kwa ufupi Mgunda yupo Simba kwa ajili ya pesa
 
Pambaneni na hali yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…