Njemba Soro.
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 3,246
- 5,757
Alete na picha anapoenda kuzikwa baada ya kugongwa na huyo kiumbe.Akikugonga ukafa...utuletee na mrejesho pia...
Huyo jamaa hachezewi wala hataniwi...ukisema upambane nae...utakufa wewe yeye atabaki...
Hao viumbe hawanaga utani kabisa...Uwe makini sana, kuna mwenzako aliyewahi kumtafuta kama wewe. Alipofika Alipokuwa, akawa anachomachoma kwenya majani alipoingilia.
Akachoma mara ya kwanza, ya pili, ya tatu nyoka akapanda na fimbo yake iliyo mkononi na kumuumauma. Haikuchukuwa muda jamaa akavuta.
Kwa hiyo uliposema hivyo umenikumbusha yule marehemu.
nitamuua.... hawezi kunishinda.Akikugonga ukafa...utuletee na mrejesho pia...
Huyo jamaa hachezewi wala hataniwi...ukisema upambane nae...utakufa wewe yeye atabaki...
Huyu naua mwenyewe.....Ushauri tafuta watu wa maliasili wadili nae. Ni hatari mkuu.
huyu naua mwenyewe.....