S SakaroMbulu Member Joined May 23, 2018 Posts 12 Reaction score 3 Oct 4, 2018 #1 Habari wanajamii, natafuta knock sensor ya nissan serena mwaka 2000. Kwayeyote anaefahamu au mwenye nayo naomba tuwasiliane 0738385338. Knock sensor sio ya gear box. Asanteni.
Habari wanajamii, natafuta knock sensor ya nissan serena mwaka 2000. Kwayeyote anaefahamu au mwenye nayo naomba tuwasiliane 0738385338. Knock sensor sio ya gear box. Asanteni.
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,222 Oct 11, 2018 #2 Unapatikana wapi mkuu?? Dar au nje ya dar
S SakaroMbulu Member Joined May 23, 2018 Posts 12 Reaction score 3 Oct 12, 2018 Thread starter #3 Napatikana Arusha mkuu