Piga Lita moja kwa Km 10 kama utaendesha kwa wastani wa Km 120/hr. Ukizidi speed hiyo consuption inaongezeka huenda ikawal lt1 kwa km7, kwa speed 120 na zaidi.
Tu-assume gari ipo katika condition nzuri, 2L engine itaenda kwa fuel consumption ya 10km/L kama alivyosema. Speed yako iwe 80-100kph. Kukanyaga sana mafuta kutasababisha ulaji zaidi. Pia, condition ya gari yako