Kama mtaalamu tunayemuamini humu Mad Max kasema ni vyema uuze ununue gari lingine sidhani kama kuna ushauri mwingine bora zaidi ya huo... kuanza kuifumua gari si kwamba itakuwa engine tu.. itabidi ubadili na vingine..
Kama hutoweza kuuza basi upate anayeuza complete set 4 cyl engine yenye ECU, wiring, gearbox, etc. kutoka kwa gari la mfano huo huo...