Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
haujatumiwa joining instruction?!Kwa walimu waliosoma hapa au wanafunzi wanaotarajia kwenda january hii naomba kujua mazingira ya chuo na sehemu kilipo mpaka kufika chuoni na pia naomba kujua Sheria zao kwa diploma zipoje wakuu
@nmechaguliwa hapa naombeni msaada wenu
Umechaguliwa kusomea kitu gani mana na mimi nimechaguliwa hapo piaKwa walimu waliosoma hapa au wanafunzi wanaotarajia kwenda january hii naomba kujua mazingira ya chuo na sehemu kilipo mpaka kufika chuoni na pia naomba kujua Sheria zao kwa diploma zipoje wakuu
@nmechaguliwa hapa naombeni msaada wenu
[/QUOTE]Usiogope kwenda Klerruu TC. Ni chuo kizuri sana! kipo kama kilometa moja na kidogo tu kutoka stendi ya mkoa. Huduma muhimu zote zinapatikana kama ishu ya maji ndo usiseme yanamwagika muda wote! umeme safi, chuo kipo mjini eneo la kihesa. Baridi tu ipo lakini sio kivile. Principal na wakufunzi wako fair kiasi chake. Kiujumla huwezi jutia, kapige shule kijana! isipokua tu kajiepushe na anasa kwa pale utapotea.

Nmechaguliwa higher diploma mkuuUmechaguliwa kusomea kitu gani mana na mimi nimechaguliwa hapo pia
[/QUOTE]Usiogope kwenda Klerruu TC. Ni chuo kizuri sana! kipo kama kilometa moja na kidogo tu kutoka stendi ya mkoa. Huduma muhimu zote zinapatikana kama ishu ya maji ndo usiseme yanamwagika muda wote! umeme safi, chuo kipo mjini eneo la kihesa. Baridi tu ipo lakini sio kivile. Principal na wakufunzi wako fair kiasi chake. Kiujumla huwezi jutia, kapige shule kijana! isipokua tu kajiepushe na anasa kwa pale utapotea.
Kwa walimu waliosoma hapa au wanafunzi wanaotarajia kwenda january hii naomba kujua mazingira ya chuo na sehemu kilipo mpaka kufika chuoni na pia naomba kujua Sheria zao kwa diploma zipoje wakuu
@nmechaguliwa hapa naombeni msaada wenu
Tutasogea hapo mkuu Siku co nyingiNenda kasome Ndugu chuo kipo sehemu nzuri kuanzia mazingira, huduma muhimu hadi elimu yenyewe, Majengo mazuri....!!
Poah me pia nimechaguliwa hapo mungu akipenda tutakutana kleruuNmechaguliwa higher diploma mkuu
Upo Kozi gani?Poah me pia nimechaguliwa hapo mungu akipenda tutakutana kleruu
Ulimaliza mwaka gani mkuu?
Diplom in laboratory technologyUpo Kozi gani?
Okay vzuri..Diplom in laboratory technology