Nasikia na kiiza kasimamishwa piaSimba yamfungia Hassan Kessy kutocheza mechi 5 kwa kumchezea rafu Christopher Edward wa Toto na kutolewa kwa kadi nyekundu, Haji Manara athibitisha
Wanatupiana lawama, eti wanapewa hela na Jerry Muro wauze mechiHeh? Jamaa wamechanganyikiwa sasa
Jamaa zangu wa simba inawabidi kumtafuta afisa habari anaye jielewa kwani jery muro ameamua kucheza na akili za viongozi wetu kupitia Haji manara na sasa simba tunakuwa kama mazuzuWanatupiana lawama, eti wanapewa hela na Jerry Muro wauze mechi
Daaaa hongera zake jery muro ameweza kucheza na akili za viongozi wa simba na sasa ameidhoofishaBreaking news.
Klabu ya soka ya Simba imemsimamisha
mchezaji wao Hassan Kessy Ramadhan mechi
tano kwa kosa la kumchezea madhambi
mshambuliaji wa Toto Africans Edward
Christopher.
Katika Mchezo uliochezwa April 17 mwaka huu
Uwanja wa Taifa Kessy alimchezea Christopher
faulo, hivyo kupewa kadi nyekundu, na uongozi
Simba umeamua kumfungia mechi hizo ili
kupinga
Vitendo vya Utovu wa nidhamu.
Kufungiwa mechi tano kwa Kessy maana yake ni
kuwa amefungiwa hadi Mwisho wa msimu kwani
Simba imebakisha mechi tano katika msimu huu.
Hii inamaanisha kuwa Hassan Kessy Ramadhan
si mchezaji tena wa Simba maana mechi tano
alizosimamishwa ni sawa na mwezi mmoja
ambao ni muda wa mkataba wake uliosalia.... SOURCE RFA
ukisikia simba wanavyolia na kauli za Jerry Muro utazani labda ndo lefa au kocha. wanaamini kabisa chanzo cha kudorora kwa timu ni Muro, Kumbe jamaa anawachezea kisaikolojia, staili ya Maurinyo. Anacheza mpira nje ya uwanja na matokeo yanaonekanaJamaa zangu wa simba inawabidi kumtafuta afisa habari anaye jielewa kwani jery muro ameamua kucheza na akili za viongozi wetu kupitia Haji manara na sasa simba tunakuwa kama mazuzu
Ni kweli kabisa mkuu na inaniuma sana maana mimi ni mwana simba kweli kweli lkn kwa hili lazima tuwalaumu viongozi wetu kwa kukubali kuingia kwenye mtego wa kisomi,hongera zao yanga kwa kuwa na msemaji mwenye kuijua kazi yakeukisikia simba wanavyolia na kauli za Jerry Muro utazani labda ndo lefa au kocha. wanaamini kabisa chanzo cha kudorora kwa timu ni Muro, Kumbe jamaa anawachezea kisaikolojia, staili ya Maurinyo. Anacheza mpira nje ya uwanja na matokeo yanaonekana
ukisikia simba wanavyolia na kauli za Jerry Muro utazani labda ndo lefa au kocha. wanaamini kabisa chanzo cha kudorora kwa timu ni Muro, Kumbe jamaa anawachezea kisaikolojia, staili ya Maurinyo. Anacheza mpira nje ya uwanja na matokeo yanaonekana
Haa haaaaaa. Hata mimi Nimemsifu sana murro kwa hili. Sasa Msimbazi kunawaka moto, wakati hakina mtu yeyote aliyeenda na kiberitiJerry Muro ni asset kubwa sana kwa Yanga, mdomo wake umefanikisha kuisamabaratisha Simba! Inanikumbusha kisa cha wana wa Israel kuuzunguka ukuta wa Yeriko kwa muda wa siku sita na siku ya saba ukuta ulianguka bila kuguswa na mtu yeyote.
Safi sana Jerry Muro, hakika umetusaidia sana kuimaliza Simba SC kwa maneno tu bila ya kuwapiga ngumi hata ya mgongoni!
Simba ni Zaidi ya yeyote na Simba itaendelea kuwepo kama ambavyo ipo watu makini washaona mambo kwa jicho la tatu hawa madogo sijui kina Kessy wanarubuniwa ukweli huyu dogo anaigharimu sana Simba,ilifaa afukuzwe mapema sana sababu ni Kirusi ndani ya Klabu.