Kiwembe kikisha muda wake unakihifadhi wapi?

Wadau naomba mnifahamishe, baada ya matumizi yoyote yale ya KIWEMBE na ukijiridhisha kuwa kimeisha matumizi yake unakihifadhi wapi?
Maswali aina hii ni majaribu ya kisaikolojia.

Vifaa ama vitu vidogo vidogo, mfano chupi, miswaki, brush za viatu, mikebe ya mafuta nk nk, vikiisha kutumika, kuna mahali stahiki zaidi ya 'dust bin' na baada ya hapo ni jalalani?

Ama mwenzetu kuna sehemu zaidi mahsusi kwa ajili hiyo?
 
Acha kumpotosha mwenzio chupi zinafuliwa.
Ameuliza kuhusu wembe punguza kuwa kama kiranja humu kuwaamrisha watu watupe chupi zao.
 
Acha kumpotosha mwenzio chupi zinafuliwa.
Ameuliza kuhusu wembe punguza kuwa kama kiranja humu kuwaamrisha watu watupe chupi zao.
Mkuu tunaongelea vifaa hivyo kuchoka ama kwa lugha nyingine ni kuisha.

Chupi inatupwa au ikichoka inachomwa?

Kwanza kuzingatia kwa makini vifaa hivyo baada ya matumizi unavipeleka wapi ni ngumu sana kukumbuka.
 
Komenti zote ngumu.... kuanzia ya kwanzia man....๐Ÿ˜œ
 
Tengeneza kitu cha hivi bafuni ... Ni kishimo kinakua ukutani...viwembe ni vyembamba sana mpaka pajae vitakua vimeoza..

 
Acha kumpotosha mwenzio chupi zinafuliwa.
Ameuliza kuhusu wembe punguza kuwa kama kiranja humu kuwaamrisha watu watupe chupi zao.
Awekewe kwenye mavuzi yake basi haya umefurahi? Unaambiwa akatupe kwenye dustbin unang'aka hata Wewe condom ukimaliza kuimwagia shahawa zako unazipeleka wapi mdomoni kwako?
 
Awekewe kwenye mavuzi yake basi haya umefurahi? Unaambiwa akatupe kwenye dustbin unang'aka hata Wewe condom ukimaliza kuimwagia shahawa zako unazipeleka wapi mdomoni kwako?
Unawashwa tigo sio? Utapakwa mafuta jidanganye na keyboard hapa jf
 
Hapana , binafsi nimeona kinanisumbua mno mwisho wake .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ