kiwanja chenye ukubwa wa squire meter 500 kinauzwa kiko tabata mawenzi kimepimwa na kina hati bei ni shilingi milioni 60 mawasiliano zaidi piga 0714358610
kiwanja chenye ukubwa wa squire meter 500 kinauzwa kiko tabata mawenzi kimepimwa na kina hati bei ni shilingi milioni 60 mawasiliano zaidi piga 0714358610
Wakuu msiponde sana,maeneo yale nyumba sio rahisi kihivyo.
Kiwanja ni wastani wa mita 22 x 22,kinaonekana kipo mlimani,sasa sijui kama huko bondeni ndio pakutoa haya,maji yakijaa unakuwa kisiwani.
Fence pia issue