Kiwanja sqm 1,383 kinauzwa , kipo kigamboni

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
212
kiwanja kinauzwa, kipo Wilaya ya Temeke , mkoa wa Dar es Salaam.
ni umbali wa km 40 toka feri ya magogoni ,kina ukubwa wa sqm 1,383 kimepimwa , hati na offer bado hazijatoka , bei ni Tsh. 10m. kipo kimbiji kijaka .katika blok E.
plot no 678 tuwasiliane kwa 0657 145555.




Tom Real Estate Agent
 

Taja upana na urefu, kisije kikawa kama barabara, ndefuuuuuu halafu upana kiduchuuuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…