Kiwanja na nyumba mbili kinauzwa

Kiwanja na nyumba mbili kinauzwa

mdaumzalendo1

Member
Joined
Feb 2, 2018
Posts
76
Reaction score
50
Kiwanja chenye ukubwa wa Mita 30 kwa 17 kwa 20 chenye nyumba mbili zilizo kwenye lenta kinauzwa.Nyumba ya kwanza ina vyumba vitatu vya kulala kimoja selfu,choo,sebule,dining na jiko
Nyingine ina vyumba viwili vya kulala na sebule kimoja selfu na choo cha nje.

Nyumba iko Boma Ng'ombe Hai.Nyumba zote zimefika kwenye lenta.

Bei ni milioni 5 maongezi yapo sana kwa watu walio serious nicheck pm

Umeme na maji vipo.Nyumba ipo umbali wa km 1 kutoka barabara kuu ya Moshi Arusha upande wa Kushoto ukitokea Arusha
 

Attachments

  • IMG_20161228_101354.jpg
    IMG_20161228_101354.jpg
    177.5 KB · Views: 53
  • IMG_20161228_101418.jpg
    IMG_20161228_101418.jpg
    252 KB · Views: 62
  • IMG_20170110_113017.jpg
    IMG_20170110_113017.jpg
    190.3 KB · Views: 51
  • IMG_20170110_113102.jpg
    IMG_20170110_113102.jpg
    122.6 KB · Views: 49
  • IMG_20170301_130208.jpg
    IMG_20170301_130208.jpg
    159.9 KB · Views: 52

Similar Discussions

Back
Top Bottom