Kiwanja na nyumba Kinauzwa mil 30.

Kiwanja na nyumba Kinauzwa mil 30.

mfetere

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2014
Posts
251
Reaction score
95
Habari wana jf Kiwanja na nyumba bado haijaisha imefika kwenye lenta nyumba ni yanvyumba vitatu Kinauzwa Kigamboni gezaulole bei mil 30 maongezi yapo kidogo kwa anayehitaji miungombinu yote ipo pm au 0714787795
 

Attachments

  • 1406350796602.jpg
    1406350796602.jpg
    126.9 KB · Views: 188
Natafuta kiwanja cha kujenga makazi ya kuishi.
Bajeti yangu ni Tsh. 15 milioni

Sifa za kiwanja.
1. Kiwe kimepimwa na kina hati miliki na kisiwe na mgogoro wowote.
2. Kiwe mahala ambapo watu wameshaanza kujenga na- kuna huduma za kijamii, kama, maji na umeme.
3. Kisipungue ukubwa wa sqm 1000.

Maeneo ninayopenda zaidi.
1. Tabata, Wazo hill, Pugu, Kigamboni, Kibada, Toangoma, Kimara, mbezi, chanika, Ukonga, Goba
Mbeni,na maeneo mengine mazuri.

Email yangu ni woowtv@live.co.uk

NB.
Ningefurahi kama ningepata cha ukubwa wa sqm 1200 au zaidi, ninaweza kuongeza pesa kama- nitalidhika na kiwanja na mahala kilipo.


ASANTENI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom