ZEE LA HEKIMA
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,422
- 1,849
Kiwanja cha mita 20 kwa 40 kinauzwa Olasiti Arusha. Kipo sehemu nzuri sana jirani kabisa na Sekondari ya Olasiti, jirani na Kanisa la Lutheran na jirani na Kanisa Katoliki. Pana umeme na maji. Barabara inafika mpaka getini kwako. Ni eneo ambalo nyumba zilizojengwa hapo zina hadhi ya juu tofauti na maeneo mengine yote ya Olasiti. Kiwanja kipo kama kilomita moja tu kutoka eneo ambalo moja ya stendi mbili mpya za Arusha zitajengwa. Kwa anayehitaji tuma ujumbe kwa watsap namba 0756799995, utatumiwa picha ya huo uwanja na bei yake.