Kiwanja Mkolani Mwanza

Kiwanja Mkolani Mwanza

MIMI NA TZ

Senior Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
197
Reaction score
18
Kipo mkolani kimepakana na barabara kuu ya Dar Mwanza kina ukubwa wa heka moja na robo , unaweza jenga Hotel,lodge na bei ni nafuu sana milioni mia na hamsini kama utahitaji tuwasiliane kwa 0788752672 ATTACH]232037[/ATTACH] ImageUploadedByJamiiForums1425550242.355000.jpg
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1425550193.381889.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1425550193.381889.jpg
    94.1 KB · Views: 193
Kwa bei hii ya ardhi huenda nikaishia kwenye nyumba ya kupanga tu
 
Mkuu unataka kujenga hotel kwenye ile eka utakayobakiza baada ya mauzo
 
Kiwanja ni kikubwa sana na kipo pembeni ya bara bara kuu jirani na MAMIZ HOTEL , hivyo kinafaa kwa biashara na makazi bei ni maelewano msihofu kuhusu bei

Bei ni maelewano wakati umeshaandika mil 150?
 
Duh hupati mtu kwa bei hiyo,sijui mnakurupuka vp na hz bei
 
Sema barabara ya Mwanza~ Shinyanga
Anyway nachangamsha uzi
 
Milioni 150 Mkolani? Hata kingekuwa kimepimwa hiyo bei umeruka sana.
 
Kiwanja kinauzwa maeneo ya airport ilemela mwanza. Ukubwa sqm 266. Bei 2ml. 0753101293
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom