kiwanja milioni 5

Mcgregor

Member
Joined
May 3, 2013
Posts
79
Reaction score
5
Kipo mbezi juu unashuka tanki bovu unatembea dakika 20 kwa mguu mpaka kiwanjani 0689315582, bei haishuki
 
Kutembea kwa miguu tena? huo mwendo wa kutembea ni kwa upana au urefu wa kwenda huko mbezi juu?
 
Njoo ukiangalie mambo ya ukubwa udogo hapa tutadanganyana tu, kipo kwenye makazi ya watu umeme upo maji yapo contacts hizo hapo juu kwenye post
 
Kwanini usiwauzie hao majirani ambao wanajua ukubwa wa kiwanja?
 
Mkuu una hati ya hiki kiwanja? Tafadhali weka picha kama zipo? angalia private sms nimeku pmp
 
Njoo ukiangalie mambo ya ukubwa udogo hapa tutadanganyana tu, kipo kwenye makazi ya watu umeme upo maji yapo contacts hizo hapo juu kwenye post

Mimi sihitaji kukiona. Ni pm namba zako ni kutumie hiyo 5m kwa mpesa sasa hivi kisha scan document zote unitumie. Kesho asubuhi natuma material mchana mafundi wanaanza ujenzi. Original doc upatie engineer mchina atakuwa hapo kukagua kiwanja jioni, mimi nitakuja mwezi wa sita mwishoni kukabidhiwa nyumba.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…