Kiwanja - Mbezi Madukani

BabaDesi

JF-Expert Member
Jun 30, 2007
6,034
3,947
Kiwanja chenye ukubwa wa 40x40 kinauzwa Mbezi Madukani nyuma ya shule ya St Anne. Bei ni Milioni 15. Mtu wa kati hatakiwi. Mwenye shida kweli apige 0754 340606.
 
Mkuu kimepimwa na kina hati halali au ndo full magumashi?

Teh teh teh. JF kuna magumashi?? Kila kitu kiko order mkuu na vyema zaidi ni kuwa utakuwa unapakana na anayekiuza.

Kiwanja chenye ukubwa wa 40x40 kinauzwa Mbezi Madukani nyuma ya shule ya St Anne. Bei ni Milioni 15. Mtu wa kati hatakiwi. Mwenye shida kweli apige 0754 340606.
Samahani, kabla sijapiga simu,mbezi madukani ni mbezi juu katikati ya luis na beach au wapi? Naomba nitajie eneo
 
Samahani, kabla sijapiga simu,mbezi madukani ni mbezi juu katikati ya luis na beach au wapi? Naomba nitajie eneo

...Ni Mbezi mwisho halafu kuna njia inapanda kwenda Mbezi makabe kupitia Mbezi madukani. Ni njia tofauti na ile inayokwenda Mbezi Luis. Ni nyuma kidogo kabla hujafika Madukani, nyuma ya Shule ya St Ann, kama mita 500 tu hivi kutoka kituo cha Mbezi Mwisho.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…