Mbona sijaona bei!Kwa bei hiyo sidhani kama utampata mteja.
Kodoa vizuri machoMbona sijaona bei!
Ilo eneo si industrial area , nasikia ukitokea mwenge hadi afrikana pale Rafiia bags, upande uho wa kushoto wote ni industrial area sio makazi
Huu sasa ni UTAPELI wa viwanja umerudi kwa kasiHabari wana Jf kuna jirani yangu Mbezi beach upande wa Kushoto kama unaenda Tegeta na eneo liko tambalare amekata eneo lake kipande cha square meter 840 muuzaji nae yuko hapo hapo eneo lote lina hati miliki halali kwa muhitaji serious njoo inbox au piga simu 0714787795 kwa maswali zaidi piga cm na picha
wakisema hivyo ujue wanamkumbusha mtoa tangazo kuweka bei.JF kibokoIyo bei iko wapi mbona kila mtu anasema bei kubwa kubwa wakati sijaona mimi au imejificha kwenye sq 840?
wakisema hivyo ujue wanamkumbusha mtoa tangazo kuweka bei.JF kiboko