Weka bei
majohe mji mpya unapitia hii njia ya pugu au maana kama ni huku waambie ukweli wanunuzi wawe tayari kutembea kwa mguu kutoka kwa ,MJOMBA hadi kona alafu wanunue na mabuti ya mvua kwa madimbwi yaliyopo hadi RADA, kama ana kagali ka mkopo apaki gongolamboto na kukamata bodaboda kwa nauli ya buku2 ,
kwetu pazuri kalibuni MAJOHE tuteseke wote hakuna kukimbiana huku
Tena hapo kwa Waryoba Hapapitikihata kidogo
du M6 aisee....!!
Kupitia mikanjuni au?