C ck2 Member Joined Dec 26, 2014 Posts 27 Reaction score 6 Feb 12, 2015 #1 Kiwanja kipo Magomeni karibu na mataa karibu na Mstikiti kipo barabarani kabisa bei million 400. Kwa mawasiliano piga 0713463004 kina hati.
Kiwanja kipo Magomeni karibu na mataa karibu na Mstikiti kipo barabarani kabisa bei million 400. Kwa mawasiliano piga 0713463004 kina hati.
nurdi JF-Expert Member Joined Jan 17, 2013 Posts 256 Reaction score 71 Feb 12, 2015 #2 ck2 said: Kiwanja kipo magomeni karibu na mataa karibu nna mstikiti kipo barabarani kabisa bei million 400 kwa mawasiliano piga 0713463004 kina hati. Click to expand... Nafikiri ulimaanisha Msikiti, Tupe ukubwa wa kiwanja na muda hati hiyo inapokisha,maeneo mengi magomeni yana lease title ya miaka 33,kama ilitolewa miaka ya mwanzoni ya 1980 means imeshakisha au inakaribia kisha.
ck2 said: Kiwanja kipo magomeni karibu na mataa karibu nna mstikiti kipo barabarani kabisa bei million 400 kwa mawasiliano piga 0713463004 kina hati. Click to expand... Nafikiri ulimaanisha Msikiti, Tupe ukubwa wa kiwanja na muda hati hiyo inapokisha,maeneo mengi magomeni yana lease title ya miaka 33,kama ilitolewa miaka ya mwanzoni ya 1980 means imeshakisha au inakaribia kisha.
Khakha JF-Expert Member Joined Jul 15, 2009 Posts 2,981 Reaction score 1,013 Feb 12, 2015 #3 Mkuu mstikiti ndo nini? Fafanua please.
Punda wa Dobi JF-Expert Member Joined Jul 4, 2013 Posts 591 Reaction score 239 Feb 12, 2015 #4 magufuli ashakipenda hicho
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,062 Reaction score 98,289 Feb 12, 2015 #5 Viwanja vya magomeni ni vidogo sana kama vya sinza mara nyingi 15m kwa 20m,sasa sijui chako kina size gani?
Viwanja vya magomeni ni vidogo sana kama vya sinza mara nyingi 15m kwa 20m,sasa sijui chako kina size gani?