Kiwanja Magomeni barabarani kinauzwa

Kiwanja Magomeni barabarani kinauzwa

ck2

Member
Joined
Dec 26, 2014
Posts
27
Reaction score
6
Kiwanja kipo Magomeni karibu na mataa karibu na Mstikiti kipo barabarani kabisa bei million 400.

Kwa mawasiliano piga 0713463004 kina hati.
 
Kiwanja kipo magomeni karibu na mataa karibu nna mstikiti kipo barabarani kabisa bei million 400 kwa mawasiliano piga 0713463004 kina hati.

Nafikiri ulimaanisha Msikiti, Tupe ukubwa wa kiwanja na muda hati hiyo inapokisha,maeneo mengi magomeni yana lease title ya miaka 33,kama ilitolewa miaka ya mwanzoni ya 1980 means imeshakisha au inakaribia kisha.
 
Mkuu mstikiti ndo nini? Fafanua please.
 
Viwanja vya magomeni ni vidogo sana kama vya sinza mara nyingi 15m kwa 20m,sasa sijui chako kina size gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom