plz weka taarifa zote kama,
ukubwa wa kiwanja ni mita za mraba ngapi?
Kiwanja kina hati?
Au kiwanja kina ofa?
Kwann unakiuza? Au
kipo kwenye laini ya umeme mkubwa? Au
kipo kwenye laini ya TAZAMA yaani pipeline -bomba la mafuta linaloenda zambia?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.