Hallo.
Kwa anayehitaji kiwanja kizuri sana. Kwenye barabara kubwa ya Mtaa, huitaji hata nguzo ya umeme. Kiwanja kina nguzo tatu za umeme kwenye kona zote tatu. Zoezi/Utaratibu wa Urasimishaji unaendelea sahv. Huduma zote muhimu kama vile Makanisa/Misikiti/Shule za English Medium/Madrassa/Hosp/Umeme/Maji/usafiri wa uhakika kutoka na kuingia mjini, pia mandhari tulivu.
*NB: kituo cha basi ni CHANIKA KWA DADDY, BAADA YA TALIANI. Mita mia mbili toka barabara ya Lami*
Ni kizuri kwa Plan ya Makazi binafsi/biashara au Nyumba za kupangisha,
Ukubwa wa kiwanja ni (25mita kwa 40mita). Square mita 1000.
Wasiliana na:
0659 110 408, 0687 119412
In the near future, you will be able to construct a condominium like this below.