E emkey JF-Expert Member Joined Mar 15, 2011 Posts 728 Reaction score 137 Oct 30, 2012 #1 kipo mwananyamala karibu na baa ya roya, ukubwa ni 80 kwa 60, kipo mita mbili toka barabarani, umeme na maji vipo kama mita moja na nusu, kuna banda moja watu wanaishi, bei milioni 90. Dalali hatakiwi. Piga 0714-408238.
kipo mwananyamala karibu na baa ya roya, ukubwa ni 80 kwa 60, kipo mita mbili toka barabarani, umeme na maji vipo kama mita moja na nusu, kuna banda moja watu wanaishi, bei milioni 90. Dalali hatakiwi. Piga 0714-408238.
M-bongotz JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 1,736 Reaction score 411 Oct 30, 2012 #2 Kiwanja kipo mita mbili toka kwenye barabara!.,buy it on your own risk maana Magufuli akitaka tu kupanua barabara ujue umeliwa.
Kiwanja kipo mita mbili toka kwenye barabara!.,buy it on your own risk maana Magufuli akitaka tu kupanua barabara ujue umeliwa.
E emkey JF-Expert Member Joined Mar 15, 2011 Posts 728 Reaction score 137 Oct 30, 2012 Thread starter #3 M-bongotz said: Kiwanja kipo mita mbili toka kwenye barabara!.,buy it on your own risk maana Magufuli akitaka tu kupanua barabara ujue umeliwa. Click to expand... Acha umbea ndgu, aliyekwambia hayo ni nani?
M-bongotz said: Kiwanja kipo mita mbili toka kwenye barabara!.,buy it on your own risk maana Magufuli akitaka tu kupanua barabara ujue umeliwa. Click to expand... Acha umbea ndgu, aliyekwambia hayo ni nani?
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,550 Oct 30, 2012 #4 Vigezo na masharti kuzingatiwa
KANCHI JF-Expert Member Joined Sep 3, 2011 Posts 1,532 Reaction score 230 Oct 31, 2012 #5 M-bongotz said: Kiwanja kipo mita mbili toka kwenye barabara!.,buy it on your own risk maana Magufuli akitaka tu kupanua barabara ujue umeliwa. Click to expand... Ndio maana anauza kashashi2kia, umeona.
M-bongotz said: Kiwanja kipo mita mbili toka kwenye barabara!.,buy it on your own risk maana Magufuli akitaka tu kupanua barabara ujue umeliwa. Click to expand... Ndio maana anauza kashashi2kia, umeona.
M-bongotz JF-Expert Member Joined Jan 7, 2010 Posts 1,736 Reaction score 411 Nov 1, 2012 #6 emkey said: Acha umbea ndgu, aliyekwambia hayo ni nani? Click to expand... Hebu soma vizuri post yako.,nitake radhi tafadhali
emkey said: Acha umbea ndgu, aliyekwambia hayo ni nani? Click to expand... Hebu soma vizuri post yako.,nitake radhi tafadhali
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,359 Nov 1, 2012 #7 M-bongotz said: Kiwanja kipo mita mbili toka kwenye barabara!.,buy it on your own risk maana Magufuli akitaka tu kupanua barabara ujue umeliwa. Click to expand... Jamaa alijua anakisifia kumbe ndiyo anaharibu, JF bana watu wanasoma btn lines.
M-bongotz said: Kiwanja kipo mita mbili toka kwenye barabara!.,buy it on your own risk maana Magufuli akitaka tu kupanua barabara ujue umeliwa. Click to expand... Jamaa alijua anakisifia kumbe ndiyo anaharibu, JF bana watu wanasoma btn lines.