wadau wa JF kuna kiwanja kinauzwa eneo: Mtwara mjini mtaa: Mitengo ukubwa:low density ya square meter 1500 na kimepimwa NB:KIPO KATIKA MAZINGIRA MAZURI NA TAMABALALE NI 1KM kutoka katika barabara kuu iendayo dar es salaam na pia kipo jirani kabisa na bahari na mji wa kitalii wa MIKINDANI bei ni maelewano..ni PM tufanye biashara karibuni wadau
Weka Bei ya kuanzia itamfanya mtu ajue kama aku-PM au lah!!! Kwa mfano ukisema bei ya kuanzia ni Million100 inanirahisishia mimi niendelee na mambo yangu, watu wengi hawapendi mambo ya kubahatisha bahatisha.