Kiwanja kiwanja kinahitajika ASAP!

Nokla

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
3,190
Reaction score
1,780
wakuu kama kawaida tangaza mahala Jamii inapokutana.
Kinahitajika kiwanja Mkoa wa DSM sio lazima pawe mjini sana hata maeneo ya nje ya mji poa tu, size kuanzia mita 30*40 kiwe kimepimwa au kama hakijapimwa nitamipa mwenyewe ila kisiwe na mgogoro.
Nicheki kwa PM au 0767698281 tufanye biashara. Asanteni.
 
Ninacho maeneo ya Kiluvya lakini ni 47 kwa 17 if you are interested check na dalali wangu
 
ninacho-kiwanja-kipo-mbezi-kwa-msuguri-karibu-na-st-anne-school-30m/50m-kina-nyumba-ya-vyumba-viwili-na-sebule-pia-kuna-umeme-nicheki-0715720960
 

Kipo kiwanja kimepimwa sqm 2600, kipo Goba, bei 30m, wasiliana na mi
 

Mkuu,

Kiwanja kinauzwa kiko Makongo Juu, hakijapimwa.
Kiwanja kina ukubwa wa 60m x 20m = 1,200-Sqm.
Kiko umbali wa 7.0-Kilometa kutoka "Keep-left" cha Mlimani City.
Bei ni Tshs 36Mil (TZS 36,000,000/=) na maongezi yapo.
Contact : 0716 47 44 35
 
Kipo kiwanja kimepimwa sqm 2600, kipo Goba, bei 30m, wasiliana na mi

mkuu ncheki 0767 698281, maana hijaweka mawasiliano. Fanya fasta
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…