Habari zenu wana JF,
Kunakiwanja kinauzwa kipo Kerege mpakani pale na kipo kama 2km kutoka barabani. Ukubwa ni heka 5. Ila ukitaka heka moja unapata au hata robo heka unapata kwa sh 3.5m. Ukitaka chote unapata kwa sh 55m. Ni kikubwa na kizuri.
Asante