Kiwanja kinauzwa kipo goba kinzudi kwa mtenga kipo vizuri kabisa kinafikika wakati wote ukubwa 30m x 35m bei M17 maongezi kidogo yapo wasiliana 0715210298
Yaani kinzudi ninunue kiwanja milioni 15 acheni ujinga nyie madalali na sasa hivi jamaa amezuia dili zote hapa town hela ya buubaa hakuna sijui mtamuuzia nani hivyo viwanja bei ya nyumba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.