Kiwanja kinauzwa..
Eneo: Mikwambe kwa Pinda, Kigamboni (3km from Kibada. 1km from main road, Karibu na mradi wa NSSF Kijichi)
Hakijapimwa.
Ukubwa: Miguu 28 kwa 30
Hakina mgogoro (Kina hati ya S/Mtaa)
Umeme umefika
Bei: 10m
Piga 0767515333 kwa maongezi