Kuwanja kizuri kinauzwa
Kipo Zinga kwa Awadh Bagamoyo,
Ukubwa ni 25x25, miundombinu yote ipo I,e umeme, maji na mengineyo,
Eneo limejengeka sana,
Ni karibu kabisa na barabara kuu ya DSM-BAGAMOYO
Hakuna dalali...
Bei ni 6m, negotiable
Pm or call 0714010511