Kiwanja kinauzwa

Kiwanja kinauzwa

dip pub

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
389
Reaction score
74
kiwanja chenye ukubwa wa squire meter 1750 kinauzwa kipo kinyerezi,kina banda la kuishi lenye vyumba viwili bei ni milioni 85
mawasiliano zaidi piga 0714358610
 

Attachments

  • IMG_20140828_114224.jpg
    IMG_20140828_114224.jpg
    434.7 KB · Views: 282
  • IMG_20140828_114124.jpg
    IMG_20140828_114124.jpg
    354.4 KB · Views: 269
  • IMG_20140828_114631.jpg
    IMG_20140828_114631.jpg
    593.5 KB · Views: 248
  • IMG_20140828_114348.jpg
    IMG_20140828_114348.jpg
    698.7 KB · Views: 259
  • IMG_20140828_114111.jpg
    IMG_20140828_114111.jpg
    959 KB · Views: 226
kiwanja chenye ukubwa wa squire meter 1750 kinauzwa kipo kinyerezi,kina banda la kuishi lenye vyumba viwili bei ni milioni 85
mawasiliano zaidi piga 0714358610

Unajua bei ya viwanja mjini, Hahaha Majanga..!
 
mmmh yaani kuna mtu anauza kiwanza kikubwa mil 15 aisee mkuu hiii bei ni kubwa sanaaa
 
mmmh yaani kuna mtu anauza kiwanza kikubwa mil 15 aisee mkuu hiii bei ni kubwa sanaaa

kina ukubwa wa squire meter ngapi???
na kipo maeneo gani???
kimepimwa au hakijapimwa???
ukishajibu haya maswali ndipo urudi tena
 
Kiwanja chenye ukubwa wa ekari 3.75(squire meter 15700) kinauzwa kipo mbweni kinapakana na barabara ya kuingia mbweni,kimepimwa na kina hati.
bei ni bilioni moja.
kwa mwenye uhitaji tuwasiliane kwa simu no
0714358610
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom