Kiwanja kinauzwa.

Kiwanja kinauzwa.

Mlonda

Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
35
Reaction score
2
kiwanja kipo maeneo ya Kongowe(Mbagala) maeneo ya Kilungule hakijapimwa ila kipo salama,
Kipo katika slope ya wastani, atakayekihitaji anakaribishwa kwenda kukiona na kutadhimini kabla ya kununua.
Bei million 2 ila mazungumzo yanakaribishwa.

0753820584 kwa mawasiliano.
 
Kamilisha maelezo mkuu weka vipimo na picha ikiwezekana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom