sudy mlela Member Joined Jul 15, 2013 Posts 35 Reaction score 5 Jul 28, 2013 #1 Kiwanja kinauzwa kwa bei rahisi, kipo kibaha kwa mathias near open university, kina ukubwa wa ekari 4 na kipo karibu na barabara.. bei 15 million, kwa anayehitaji tuwasiliane 0713 542400
Kiwanja kinauzwa kwa bei rahisi, kipo kibaha kwa mathias near open university, kina ukubwa wa ekari 4 na kipo karibu na barabara.. bei 15 million, kwa anayehitaji tuwasiliane 0713 542400
asrams JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 4,798 Reaction score 2,657 Jul 28, 2013 #2 15m?? Hizi figure mnatoa wapi jamaniiiiii. Good luck
sudy mlela Member Joined Jul 15, 2013 Posts 35 Reaction score 5 Jul 29, 2013 Thread starter #3 Bei ni 35m na sio 15m..
M mputika Senior Member Joined Jun 7, 2013 Posts 163 Reaction score 18 Jul 29, 2013 #4 wana jf mi nina maeneo makubwa tu ya kutosha chanika anayehitaji ani pm tuzungumze bei nzuri na maeneo mazuri
wana jf mi nina maeneo makubwa tu ya kutosha chanika anayehitaji ani pm tuzungumze bei nzuri na maeneo mazuri
A amani tele Member Joined Jul 24, 2013 Posts 43 Reaction score 17 Jul 29, 2013 #5 Ninahitaji eneo nzuri kwa kilimo kati ya kibaha na mlandizi
sudy mlela Member Joined Jul 15, 2013 Posts 35 Reaction score 5 Jul 29, 2013 Thread starter #6 tuwasiliane then ukalione ukiridhika nalo tuweze fanya biashara@ amani..