Serikali kuu na Serikali za mitaa ni kitu kimoja, vimepimwa kulingana na Sheria ya Ardhi Na 4 ya mwaka 1999 na sio Sheria ya Ardhi ya Vijiji Na 5 ya mwaka 1999. Hati inatolewa na Kamishna wa Ardhi katika Wizara ya Ardhi, na offer imetolewa na Authorised Officer under Land Act No 4. Sijui nimekujibu mkuu?