S solon Member Joined Mar 16, 2012 Posts 12 Reaction score 1 Jul 7, 2012 #1 Kiwanja chenye size 30m kwa 30m kinauzwa kipo tabata kinyerezi na bei yake ni shs Ths.22mill na kipo umbali wa kilomita moja kutoka barabara kuu mawasiliano; 0783422874
Kiwanja chenye size 30m kwa 30m kinauzwa kipo tabata kinyerezi na bei yake ni shs Ths.22mill na kipo umbali wa kilomita moja kutoka barabara kuu mawasiliano; 0783422874
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,358 Jul 7, 2012 #2 Mimi nijuavyo Arusha ndiyo viwanja bei ghali sana lakini kiwanja hicho mkuu bei ni kubwa mno kulinganisha na ukubwa mahali kilichopo, Labda ingekuwa 6ml watu angalau lakini 22ml!!!! Anyway kama mimi sina pesa nisiwasemee na wengine!!!!!
Mimi nijuavyo Arusha ndiyo viwanja bei ghali sana lakini kiwanja hicho mkuu bei ni kubwa mno kulinganisha na ukubwa mahali kilichopo, Labda ingekuwa 6ml watu angalau lakini 22ml!!!! Anyway kama mimi sina pesa nisiwasemee na wengine!!!!!
Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,366 Reaction score 3,561 Jul 8, 2012 #3 Mzee wa Rula said: Mimi nijuavyo Arusha ndiyo viwanja bei ghali sana lakini kiwanja hicho mkuu bei ni kubwa mno kulinganisha na ukubwa mahali kilichopo, Labda ingekuwa 6ml watu angalau lakini 22ml!!!! Anyway kama mimi sina pesa nisiwasemee na wengine!!!!! Click to expand... wewe hujui bei ya viwanja. hasa kinyerezi. niulize mimi cha kwangu sqmetre 700 nimenunua kwa ngapi huko kinyerez
Mzee wa Rula said: Mimi nijuavyo Arusha ndiyo viwanja bei ghali sana lakini kiwanja hicho mkuu bei ni kubwa mno kulinganisha na ukubwa mahali kilichopo, Labda ingekuwa 6ml watu angalau lakini 22ml!!!! Anyway kama mimi sina pesa nisiwasemee na wengine!!!!! Click to expand... wewe hujui bei ya viwanja. hasa kinyerezi. niulize mimi cha kwangu sqmetre 700 nimenunua kwa ngapi huko kinyerez
L leamashina Member Joined Jul 5, 2012 Posts 25 Reaction score 2 Jul 13, 2012 #4 Du! natamani hicho kiwanja lakini bei imenishinda chalii wangu. Ungesema millioni 8 kweli ningekutafuta.
Du! natamani hicho kiwanja lakini bei imenishinda chalii wangu. Ungesema millioni 8 kweli ningekutafuta.