Kiwanja kinauzwa

Kiwanja kinauzwa

Joined
Oct 27, 2019
Posts
14
Reaction score
127
Salaam wana jukwaa,
Husika na kichwa cha habari hapo juu, Kiwanja kinapatikana maeneo ya Geita-Katoro maeneo ya Mombasa Raha, Kina ukubwa wa -urefu ni 30 upana ni 28.
Bei ya kiwanja ni million tatu (3,000,000). Nyaraka halali za umiliki wa kiwanja zipo.


Kwa mawasiliano zaidi
piga 0764-676-110
barua pepe mbalizi369@gmail.com
 
Sijui ni Katoro ya Geita sijui ni Katoro ya Mombasa kenya kama nako kuna Katoro anajua mwenyewe mwandishi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom