Nauza kiwanja changu mbezi msakuzi. Nguzo ya umeme iko hapohapo site .ukubwa 20m kwa 21m. Kiwanja kiko sehemu nzuri sana na pia pamejengeka sana. Hatua za awali za upimaji shirikishi zimeshafanyika. Bei 6.5M piga 0659 402124 kwa maelezo zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app