Kunaitwaje hapo km 2 kutoka maili mojaKiwanja kinauzwa maeneo ya kibaha mail moja. Kipo 2km kutoka barabara kuu.
Ni squre meter 900. Kimepimwa.
Hi haina dalali. Mwenye kuhitaji karibu inbox. Au piga no. 0764235497.
Bei maelewano mkuu. Check na hiyo no.Weka bei watu wajitathmini.....ndio tangazo linatakiwa liwe hivyo
Bei maelewano mkuu. Check na hiyo no.
Hapa kuna harufu ya utapeliBei maelewano mkuu. Check na hiyo no.
Sio kweli aisee. Jaribu kua mstaraabu. Usiongee vitu ambavyo hukuvifanya coz una disturb wenye niaNimempigia, anasema kinauzwa milion 35
Sio kweli. Muuzaji ndie mwenye eneo. So hakuna jinsi utaibiwa au kudhurumiwaHapa kuna harufu ya utapeli
Sema sasa bei yako ya ukweli.Sio kweli aisee. Jaribu kua mstaraabu. Usiongee vitu ambavyo hukuvifanya coz una disturb wenye nia
Kaka kwenye hiyo no utaongea na mhusika na mwenye Mali. Mtapanegotiate mpk mwishoSema sasa bei yako ya ukweli.
Weka bei, biashara za sirisiri zimepitwa na wakatiKiwanja kinauzwa maeneo ya kibaha mail moja. Kipo 2km kutoka barabara kuu.
Ni squre meter 900. Kimepimwa.
Hi haina dalali. Mwenye kuhitaji karibu inbox. Au piga no. 0764235497.
mbona jamaa kasema kaambiwa 35m halafu unabisha bila kuweka bei hapa?Kaka kwenye hiyo no utaongea na mhusika na mwenye Mali. Mtapanegotiate mpk mwisho